Kuelekea mchezo wa jumanne ambapo Chelsea itashuka Darajani, Stamford Bridge kumenyana na klabu iliyopanda daraja msimu huu ikishika nafasi ya 12 katika msimamo wa ligi kuu.
Hiki ndicho kikosi cha Chelsea kitakachomenyana na klabu hiyo iliyopata ushindi ugenini mara mbili tu msimu huu. Huku Alvaro Morata akirudi kikosini mara baada ya kufungiwa mchezo mmoja dhidi ya Everton ambapo adhabu hiyo ashaitumikia.
Wachezaji wa Chelsea kamili;
Makipa: T.Courtois | W.Caballero | Eduardo
Walinzi: A.Rudiger | Marcos Alonso | G.Cahill | A.Christensen | C.Azpilicueta | J.Clarke-Salter
Viungo: C.Fabregas | D.Drinkwater | N.Kante | T.Bakayoko | V.Moses | Kenedy | D.Zappacosta| E.Ampadu
Washambuliaji: E.Hazard | A.Morata | Pedro R. | Willian B. | M.Batshuayi | D.Sterling | Hudson-Odoi.

Chelsea itaendelea kuwakosa David Luiz pamoja na Charly Musonda ambao bado ni majeruhi
No comments:
Post a Comment