Chelsea inatajwa kumfukuzia nyota wa klabu ya Burnley, Ashley Barnes anayecheza kama mshambuliaji wa kati.
Chelsea ipo sokoni kwa sasa kumtafuta mshambuliaji atakayekuwa kama chaguo la pili huku kukiwa na tetesi za nyota Michy Batshuayi kutakiwa na klabu za Borrusia Dortmund huku Sevilla nayo ikitajwa kumfukuzia.
Barnes amekuwa akitumiwa na klabu yake kama chaguo la kwanza na huenda akatua Chelsea kutokana na vyanzo kadhaa kulingana.
No comments:
Post a Comment