Ross Barkley alisajiliwa na Chelsea siku ya tarehe 5-Januari ambapo kama usajili wake ungekamilika asubuhi au mida ya mchana basi isingekuwa tatizo ila tatizo lilikuja pale kutangazwa kwake kuwa ni nyota mpya wa Chelsea lilifanyika nje ya muda ambapo kwa maana hiyo ikawa amechelewa kwenye orodha ya wachezaji watakaocheza mashindano ya kombe la FA.
Lakini kwa upande wa kocha Antonio Conte amesema hakuna tatizo katika ilo maana amepanga kuaandaa mchezo wa kirafiki ambao moja kwa moja utamuhusu Barkley ili kumwangalia kama yupo sawa kwa uhakika zaidi.
No comments:
Post a Comment