HUYU NDIYE MAKELELE AKIWA KWENYE UBORA WAKE - Darajani 1905

HUYU NDIYE MAKELELE AKIWA KWENYE UBORA WAKE

Share This
Leo ni siku ya kuzaliwa ya kiungo wa zamani wa Chelsea, Claude Makelele ambaye kwa sasa ni kocha mkuu wa klabu moja nchini Ubelgiji.
Nyota huyo anatimiza miaka 45 na alicheza Chelsea kwa mafanikio makubwa, akicheza hapo kuanzia mwaka 2003 mpaka mwaka 2008 akishinda mataji yote ya nchini Uingereza ambayo ni Ligi kuu Uingereza, kombe la FA, kombe la ligi pamoja na ngao ya hisani.
Kama hukuwai kumuona akicheza soka lake, nimekuwekea video hapa chini.


No comments:

Post a Comment