Jana ilikuwa ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa nyota wa zamani wa Chelsea, Didier Drogba ambapo alikuwa akitimiza miaka 40 toka kuzaliwa kwake. Kutokana na kutoa hongera ztu kwake, hapa nakuletea video ya gwiji huyo akikumbuka usiku ambao aliiongoza vyema Chelsea kushinda taji lake kubwa la kwanza la klabu bingwa barani Ulaya kwenye jiji la Munich mwaka 2012, lakini hapa anakumbushia kwa kuchora matukio ya mchezo huo.
DIDIER DROGBA AELEZA ANACHOKIKUMBUKA FAINALI YA UEFA 2012
Share This
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment