Klabu ya vijana ya Chelsea ilishiriki michuano ya kombe la Checkatrade na kufanikiwa kufika hatua ya nusu fainali ambapo hawakufanikiwa kufudhu kucheza hatua ya fainali ambapo mchezo huo unachezwa leo mchana.
Lakini kutofanikiwa huko ila bado imefanikiwa kumtoa mchezaji mmoja aliyechaguliwa kuingia kwenye kikosi bora cha michuano hiyo ambaye ni Callum Hudson-Odoi ambaye ni mchezaji pekee kutoka Chelsea
Hudson-Odoi ambaye ana miaka 17 kwa sasa amekua na kiwango bora huku akifanikiwa kuichezea Chelsea ya wakubwa kwa mara ya kwanza ndani ya msimu huu.
No comments:
Post a Comment