Kikosi cha Chelsea dhidi ya Southampton - Darajani 1905

Kikosi cha Chelsea dhidi ya Southampton

Share This

Chelsea inashuka uwanjani Wembley kucheza mchezo nusu fainali dhidi ya Southampton jioni ya leo. Kuelekea kwenye mchezo wa leo, hapa nakuletea kikosi cha Chelsea kitakachocheza mchezo huo wa nusu fainali.

Kikosi cha Chelsea:
Kipa; Willy Caballero
Walinzi; Cesar Azpilicueta, Gary Cahill (C) na Antonio Rudiger
Viungo; Victor Moses, N'Golo Kante, Cesc Fabregas na Emerson Palmieri
Washambuliaji; Willian, Olivier Giroud na Eden Hazard

Wachezaji wa akiba; Eduardo, Christensen, Zappacosta, Bakayoko, Barkley, Pedro, Morata.

No comments:

Post a Comment