Chelsea inashuka uwanjani usiku wa leo ili kucheza mchezo wake wa ligi kuu Uingereza ambapo itakuwa uwanjani kucheza dhidi ya Swansea huku Chelsea ikiwa ugenini.
Kuelekea kwenye mchezo huo, hapa nakuletea kikosi cha Chelsea kitakachocheza kwenye mchezo huo.
Kipa; Thibaut Courtois
Walinzi: Cesar Azpilicueta, Gary Cahill na Antonio Rudiger
Viungo; Victor Moses, Tiemoue Bakayoko, N'Golo Kante, Cesc Fabregas na Emerson Palmieri
Washambuliaji; Eden Hazard, Olivier Giroud
Wachezaji wa akiba; Willy Caballero, Davide Zappacosta, Andreas Christensen, Ross Barkley, Pedro Rodriguez, Willian na Alvaro Morata
No comments:
Post a Comment