Baba wa Pulisic ametoa majibu kuhusu mwanae kutakiwa na Chelsea - Darajani 1905

Baba wa Pulisic ametoa majibu kuhusu mwanae kutakiwa na Chelsea

Share This

Chelsea inatajwa kumfukuzia nyota wa klabu ya Borrusia Dortmund ya nchini Ujerumani, Christian Pulisic ambaye ana miaka 19.

Nyota huyo raia wa Marekani anatajwa kwa karibu kutua klabuni Chelsea ambayo wao wapo tayari kutoa dau hilo huku klabu ya Liverpool ambayo nayo inamfukuzia ikisuasua.

Baba mzazi wa nyota huyo anayeitwa Mark ameulzwa juu ya mustakabali wa mtoto wake ambapo alijibu akisema mtoto wake ana ndoto za muda mrefu kucheza ligi kuu Uingereza ambapo kauli hiyo imetia petroli uwezekano wa kijana huyo kutua Uingereza haswa Chelsea

No comments:

Post a Comment