Chelsea kumfunga kitanzi N'Golo Kante - Darajani 1905

Chelsea kumfunga kitanzi N'Golo Kante

Share This

Chelsea inakaribia kumpa mkataba mpya nyota wa klabu hiyo, N'Golo Kante na kupewa mshahara wa paundi 290,000 kwa wiki, mshahara utakaomfanya kuwa mchezaji anayelipwa zaidi klabuni Chelsea.

Nyota huyo ambaye amekuwa akitajwa kutakiwa na klabu kadhaa ikiwemo klabu ya PSG inayopatikana nchini kwao Ufaransa ana mkataba na Chelsea utakaomalizika mwaka 2021.

No comments:

Post a Comment