Chelsea kuvunja benki kwa Milinkovic-Savic - Darajani 1905

Chelsea kuvunja benki kwa Milinkovic-Savic

Share This

Klabu ya Chelsea inajiandaa kuvunja benki na kulipa dau nono la paundi milioni 115 ili kumsajili nyota raia wa Serbia anayeichezea klabu ya Lazio, Sergej Milinkovic-Savic

Milinkovic-Savic mwenye miaka 23 amekuwa akifukuziwa na Chelsea kwa muda na kutua kwake klabuni hapo kunatajwa kutokana na kocha Maurizio Sarri kutaka kuiimarisha safu ya kiungo ya Chelsea.

No comments:

Post a Comment