Kenedy akaribia kutua Newcastle - Darajani 1905

Kenedy akaribia kutua Newcastle

Share This

Winga wa Chelsea mzaliwa wa  mbazili Robert Kennedy Nunes do Nascimento mwenye umri wa miaka 22 amefuzu vipimo vya kujiunga na Newcastle kwa mkopo akitokea Chelsea imeripotiwa na Skysport mda mchache uliopita.

Kumbuka sio Mara ya kwanza kwa winga huyo wa kibrazil kuitumikia Newcastle aliitumikia pia msimu ulio pita kwa mkopo akijiunga nayo mwezi Januari kwenye dirisha dogo la usajili.

Kwa habari mbali mbali za Chelsea, tembelea kurasa zetu
Instagram➡darajani1905
Facebook➡Darajani1905

No comments:

Post a Comment