Real Madrid yaachana na Hazard, yatua kwa nyota mwengine wa Chelsea - Darajani 1905

Real Madrid yaachana na Hazard, yatua kwa nyota mwengine wa Chelsea

Share This

Klabu ya Real Madrid iliripotiwa kuachana na mpango wake wa kumsajili nyota wa Chelsea, Eden Hazard ambaye amebakiza mkataba wa miaka miwili klabuni Chelsea

Lakini sasa klabu hiyo haijakataa tamaa, inaripotiwa kwamba klabu hiyo imeifata tena Chelsea na kuandaa dau la paundi milioni 100 ili kuwanasa Willian Borges pamoja na mlinda mlango Thibaut Courtois.

Kipa Thibaut Courtois kwasasa yupo nchini Hispania huku Willian akiwa amerejea klabuni Chelsea hapo jana akitoka kumaliza mapumziko yake kutokana na kushiriki Kombe la Dunia.

No comments:

Post a Comment