Kepa akaribia kutua Chelsea - Darajani 1905

Kepa akaribia kutua Chelsea

Share This

Redio moja nchini Hispania imeripoti kwamba mlinda mlango raia wa nchini humo, Kepa Arrizabalaga anajiunga na Chelsea kwenye dirisha hili kubwa la usajili

Kipa huyo anatazamiwa kutua Chelsea ili kuziba pengo la kipa, Thibaut Courtois anayehusishwa kujiunga na Real Madrid

Kupata habari zote za Chelsea, tembelea kurasa zetu
Website👉 darajani1905.blogspot.com
Facebook👉Darajani 1905
Instagram👉darajani1905

No comments:

Post a Comment