Kinachoikumba Chelsea, chaikumba na Real Madrid - Darajani 1905

Kinachoikumba Chelsea, chaikumba na Real Madrid

Share This

Chelsea inaweza ikamnasa kwa mkopo nyota wa klabu ya Real Madrid, Mateo Kovacic mara baada ya nyota huyo kulazimisha kujiunga na Chelsea huku akisema hatohudhuria mazoezi ya Madrid endapo watakataa kukamilisha uhamisho huo.

Kinachotutokea sisi kwa Thibaut Courtois ambaye naye hajafika mazoezini siku ya pili mfululizo ndicho kinawatokea na Real Madrid ambao wao wanamkosa nyota huyu ambaye amekataa kuripoti mazoezini.

Kupata habari zote za Chelsea, tembelea kurasa zetu
Website👉 darajani1905.blogspot.com
Facebook👉Darajani 1905
Instagram👉darajani1905

No comments:

Post a Comment