Chelsea inatajwa kukataa ofa ya kumsajili nyota anayetajwa kuwa na thamani ya paundi milioni 45 ambaye ni raia wa Brazil anayeichezea klabu ya Corithians, Pedrinho ambaye ana miaka 20.
Inaelezwa kwamba Chelsea imekataa ofa ya nyota huyo ambaye wakala wake anamtafutia klabu ya kucheza barani Ulaya na alishapeleka maombi kwenye klabu kama Liverpool na Ajax.
Nyota huyo anaweza kucheza kama mshambuliaji wa pili au winga.
No comments:
Post a Comment