Nyota huyo mwenye miaka 22 anatajwa kutakiwa na klabu kadhaa ikiwemo Chelsea inayotajwa kwamba ipo tayari kumtoa beki mmojawapo kati ya Marcos Alonso au Emerson Palmieri ili kumsajili kwa mabadilishano na mshambuliaji wa Inter Milan, Lautaro Martinez
Chelsea inatajwa kuingia kwenye mpango wa kumsajili nyota beki wa kushoto wa klabu ya Wigan na timu ya taifa ya Marekani, Antonee Robinson.
No comments:
Post a Comment