5. Pasi ya mwisho kwemye mchezo wa Kombe la Ligi kati ya Chelsea dhidi ya Grimsby.
4. Pasi ya mwisho kwenye mchezo wa ligi kuu Uingereza dhidi ya Burnley.
3. Pasi ya mwisho kwenye mchezo wa ligi kuu Uingereza dhidi ya Aston Villa.
2. Goli lake kwenye mchezo dhidi ya Grimsby
1. Goli lake la kwanza kwenye michuano ya Klabu bingwa Ulaya dhidi ya Ajax.
No comments:
Post a Comment