Likizo ya Ligi kuu ishaisha kwa Chelsea, yarejea mazoezi kujiandaa dhidi ya Man utd - Darajani 1905

Likizo ya Ligi kuu ishaisha kwa Chelsea, yarejea mazoezi kujiandaa dhidi ya Man utd

Share This

Hayahaya, likizo ya majira ya baridi ya ligi kuu Uingereza imeshaisha kwa nyota wa Chelsea na sasa wamerejea kwenye mazoezi mepesi ya kujiweka sawa kabla ya kuanza mazoezi ya kawaida ya kujiandaa na mchezo muhimu unaokuja mbele ambapo Chelsea itakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya Man utd siku ya tarehe 17-Februari majira ya saa 23:00 (EAT).








1 comment:

  1. ❤❤💪💪viva chama langu la chelsea tunawakilisha vema

    ReplyDelete