Chelsea kuvunja kibubu kumsajili nyota kutoka Ujerumani - Darajani 1905

Chelsea kuvunja kibubu kumsajili nyota kutoka Ujerumani

Share This

​Chelsea inatajwa kumfatilia kwa karibu nyota wa klabu ya Bayer Leverkusen na timu ya taifa ya Ujerumani, Florian Wirtz anayetajwa kufikia thamani ya euro milioni 100 ndani ya miaka miwili ijayo.


No comments:

Post a Comment