Leo kkocha Antonio Cote amefanya mkutano na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa ligi kuu Uingereza dhidi ya klabu ya Stoke city utaaochezwa saa 12 jioni hapo kesho kwenye uwanja wa Stamford, na haya ndio mahojiano aliyoyafanaya.
Anawazungumziaje Stoke city;
Antonio Conte alijibu "Ni mchezo mgumu ukizingatia msimu, kama unakumbuka vizurri, msimu uliopita tulipata tabu kuwafunga. Hautokuwa mchezo rahisi"
Kuhusu Majeruhi
Kocha Conte alijibu "Haitokuwa tofauti na mchezo uliopiita, majeruhi ni walewale ingawa wannaendelea vizuri, namtegemea david Luiz labda atarejea katiikamchezo wa FA Cup dhidi ya Norwich (utakuwa tarehe 6 mwezi januari)
Kuhusu maendeleo ya Baba Rahman
Conte alijibu "Ni swali zuri sana, nimekuwa nikilizishwa na maendeleo yake toka alippopata majeraha mabaya yaliyomweka ne muda mrefu, kuhusu kurudi uwanjani naona ingekuwa sahihi kwanza apate muda zaidi wa kuwa sawa kabla ya kuruudi uwanjani"
Kuhusu nafasi ya kuwa katika 4-bora ya ligi kuu
Conte alijibu "Ni ngumu kusema unaendelea kushindania ubingwa wakati mshindani wako kama Man city yupo kwenye kiwango bora, muhimu ni kugombania nafasi nne za juu ambazo nazo kuzipata ni shughuli kutokana na ligi kuu ya Ungereza kuwa ya kipekee na ngumuu ukiangalia ligi hii ndiyo ligi pekee klabu 6 za juu zinapambania ubingwa"
Hayo ndiyoo baadhi ya aliyoyazungumza kocha Antonio Conte kuelekea katika mchezo wa kesho ambapo kama Chelsea itashinda itapanda kutoka nafasi ya 3 mpaka nafasi ya pili kuttegemea matokeo ya Manyumbu (Man utd) itakaayomenyana na Southampton.
No comments:
Post a Comment