Klabu ya Chelsea inakutakia heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Yesu Kristo ambayo huadhimishwa kila ifikapo tarehe 25-Desemba-2017.
Baadhi ya nyota wa Chelsea wanaokutakia pia heri ya Christmass;
 |
| John Terry akiwa na familia yake |
 |
| Andreas Christensen tayari kukutana na familia yake kutoka Denmark |
 |
| Thibaut Courtois akiwa kapokea mzigo wa maua ya uaridi meupe kwa ajili ya Christmass |
 |
| Michael Ballack, mchezaji wa zamani akiwa kwenye usafiri kwenda kujumuika kwa pamoja |
 |
| Antonio Rudiger akiwa na vifaa vya michezo vya Nike, ambao ni mdhamini wa Chelsea |
 |
| Mlinda mlango, Eduardo akiwa pamoja na watu wake wa karibu |
No comments:
Post a Comment