Ni Chelsea dhidi ya Arsenal katika nusu fainali ya kombe la ligi au Carabao cup ambao utakuwa mchezo kwa hatua ya nusu fainali itakayoanziwa kuchezewa katika uwanja wa Stamford Bridge.
Nusu fainali hiyo imepangwa leo usiku muda mfupi mara baada ya michezo ya robo fainali ambapo kwa majirani zetu, Manchester city imepangwa kumenyana na Bristol city.
Chelsea inafuzu kwa mara ya kwanza katika hatua ya nusu fainali ya kombe la ligi ambapo mara ya mwisho kufanya hivyo ilikuwa mwaka 2015 ambapo tulikuwa mabingwa, je na msimu huu tutabeba ubingwa huo?
No comments:
Post a Comment