Ujue kwanini nacheka, sio usajili maalumu uliotangazwa ila kupitia mtandao wa Twitter, mchezaji huyo alituma akisema "Nimeamka nimesikia Chelsea inanitaka, lakini nasikia Conte haruhusu mtu kula kuku akiwa mazoezini, kwa hilo haiwezekani" hahaa unaachaje kucheka?
Nyota huyo asifa yake kubwa ndiye mchezaji mwenye nguvu kuliko wote na mwenyewe anajiita "The Beast", ana sifa ya kunyanyua vitu vizito na kula sana huku akiwa na miaka 35 na uzito wake ni kilogramu 120 huku mpaka sasa ameshacheza klabu. Lakini mpaka sasa ameshazichezea klabu zaidi ya 15 huku akicheza jumla michezo 622 na kufunga magoli 201.
Ujumbe alioutuma Akinfenwa kupitia mtandao wa Twitter |
Moja ya majibu aliyoyapata baada ya kutuma ujumbe huo |
No comments:
Post a Comment