Magoli ya Chelsea yakifungwa na Willian Borges aliyefunga dakika ya 13 huku Alvaro Morata akifunga goli la ushindi dakika ya 90 na kuipaisha The Blues.
Chelsea imepata ushindi muhimu usiku wa leo katika kombe la ligi linaloitwa Carabao Cup ambapo imefanikiwa kuifunga Afc Bournemouth katika mchezo wa robo fainali na hivyo kufanikiwa kufuzu kucheza hatua ya nusu fainali.
Magoli ya Chelsea yakifungwa na Willian Borges aliyefunga dakika ya 13 huku Alvaro Morata akifunga goli la ushindi dakika ya 90 na kuipaisha The Blues.
Sasa kama ulishindwa kuuangalia mchezo huo, basi nimekuwekea hapa matukio muhimu yaliyotokea katika mchezo huo.
Magoli ya Chelsea yakifungwa na Willian Borges aliyefunga dakika ya 13 huku Alvaro Morata akifunga goli la ushindi dakika ya 90 na kuipaisha The Blues.
No comments:
Post a Comment