MOYES KUMCHUKUA NYOTA WA CHELSEA - Darajani 1905

MOYES KUMCHUKUA NYOTA WA CHELSEA

Share This

Aliyewai kuwa kocha wa klabu za Everton kabla ya kutimkia Manyumbu (Man utd) na kufanya vibaya klabuni hapo kisha kutimkia kufanya kazi nchini Hispania na sasa kurudi tena Uingereza, David Moyes huenda akamnasa nyota wa zamani wa Chelsea ambaye kwa sasa anapata tabu kupata nafasi kwenye kikosi cha kwanza akiwa klabuni Borrusia Dortmund, Andrea Schrulle.

Andrea Schrulle anatafuta klabu atakayoweza kucheza ili kupata nafasi kwenye kikosi cha kwanza ili aweze kuchaguliwa kwenye kikosi cha taifa cha Ujerumani kitakachoenda kupambana katika kombe la dunia nchini Urusi.

No comments:

Post a Comment