Klabu ya Chelsea inatajwa kupeleka dau la paundi milioni 30 ili kumnasa kiungo wa klabu ya Villareal ambaye alizaliwa miaka 26 kwenye jiji la Seville pale nchini Hispania, Manu Trigueros.
Manu amekuwa na kiwango bora na hivyo kuzivutia klabu nyingi barani Ulaya ambapo mpaka sasa ameshaichezea klabu hiyo ya Villareal michezo 172 toka alipopandishwa kutoka Villareal B mpaka timu ya wakubwa huku akiifungia magoli 12.
No comments:
Post a Comment