Chelsea inashuka uwanjani leo kumenyana na Arsenal usiku huu ikipambana dhidi ya Arsenyani (Arsenal) yenye wingi wa majeruhi.
Kikosi cha Chelsea usiku wa leo;
Kipa; Thibaut Courtois
Walinzi; Azpilicueta | Christensen | Cahill
Viungo; Moses | Kante | Fabregas | Bakayoko | M.Alonso
Washambuliaji; Morata | Hazard
Chelsea inaendelea kuwakosa nyota wake Charly Musonda, David Luiz na Baba Rahman ambao wanauguza majeraha ingawa kuna uwezekano mkubwa kurejea katika mchezo wa kombe la FA.
Chelsea ikishinda mchezo wa leo itatimiza alama 48 na kupanda kutoka nafasi ya tatu mpaka nafasi ya pili.
Come on You Blues
No comments:
Post a Comment