Chelsea itakuwa nyumbani jumatano hii kumenyana na Norwich katika kombe la FA ambapo Chelsea itahitaji kupata ushindi wowote ili kuweza kufuzu, kuelekea mchezo huo kocha Antonio Conte ametoa neno juu ya mtazamo wake kwa sasa lakini pia hakusita kumuelezea nyota mpya klabuni hapo, Ross Barkley ambaye huenda akawepo kwenye chezo huo.
"Nadhani hili tatizo sio kwetu tu, nimewaona wachezaji wengi wamechoka. Usisahau tulitoka kucheza mchezo mgumu siku ya jumatano dhidi ya Arsenal. Alafu bado nikawachezesha walewale, tulicheza mchezo mgumu jumatano huenda nilikosea kuwatumia walewale. Lakini hili tatizo sio kwa upande wetu tu na sio kwa mchezaji mmoja ni kwa kila mchezaji haswa unapokuwa unashiriki michuano mingi kwa muda mfupi"
Alipomzungumzia Barkley alisema "Ross (Barkley)anafanya vizuri pamoja nasi kuanzia kama timu na hata kwake mwenyewe, ameimarika vyema. Nna uhakika ni mchezaji mzuri kumpata, ukiangalia bado ana umri mdpgo lakini ana uwezo mkubwa. Kila unapofika mchezo huwa najaribu kufanya maamuzi kwa ajili yetu. Wachezaji wanaelewa ni aina gani ya soka wanatakiwa kulicheza maana wananijua laini lengo kuu tunalopambana kulifikia ni kufanya vizuri kwa ajili ya klabu"
"Tunapambana kwa uwezo wetu wote. Unaweza kushinda na hata kufungwa lakini jambo muhimu zaidi ni kutumia uwezo wako wote kwa ajili ya timu" alisema kocha Antonio Conte

No comments:
Post a Comment