Mara baada ya jana kipa wa Chelsea, Thibaut Courtois kumuelezea nyota mwenzake klabuni hapo Eden Hazard kuwa wanakaribia kusaini mkataa mpya klabuni Chelsea mara baada ya kuhusaishwa kwa muda mrefu kutakiwa na baadhi ya vilabu barani Uaya.
Eden naye amemjibu kipa huyo ambaye jana alisema wanakaribia kusaini mkataba ingawa haijajulikana ni lini zaidi ya kusema hivi punde, "Nitajibu kama alivyosema Thibaut, nitasaini mkataba mpya baada ya yeye kusaini. Mtihani ni kuwa je nani ataanza kusaini, hilo ndio fumbo" alisema Hazard.
Kumekuwa na tetesi kubwa zikiwahusisha nyota hao kujiunga na klabu ya Real Madrid, lakini sasa ni kama wamezizima tetesi hizo na kutupa faraja sisi mashabiki.
HAZARD NA COURTOIS NANI KUANZA KUSAINI CHELSEA?
Share This
Tags
# Chelsea Usajili
Share This
About Darajani 1905
Chelsea Usajili
Labels:
Chelsea Usajili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment