Kuelekea kwenye hatua hiyo ya robo fainali, kutachezeshwa droo kwa timu zitakazofanikiwa kufudhu kucheza hatua hiyo ya robo fainali ambapo mpaka sasa klabu zilizofanikiwa kufudhu ni Chelsea na Leicester city, na bado klabu sita zinazotakiwa kufudhu kucheza hatua ya robo fainali kati ya klabu nane.
Droo hiyo ya hatua ya robo fainali ambapo inachezeshwa ili kupanga michezo ya hatua hiyo ya robo fainali huchezeshwa kwa kuchanganya vipira vidogo vyenye namba ambapo ndani yake huwa kuna majina ya klabu zilizofanikiwa kufudhu kucheza hatua hiyo.
Na tayari namba za vipora hivyo vimeshatajwa na sasa kinachosubiriwa na michezo mingine ya raundi ya tano kuchezwa, namba za vipira hvyo ni kama ifuatavyo.
- Sheffield Wednesday vs Swansea
- West Bromwich vsSouthampton
- Cheelsea
- Leicester city
- Huddersfield vs Manyumbu (Man utd)
- Rochdale vs Tottenham
- Brighton vs Coventry city
- Wigan vs Mama site (Man city)


No comments:
Post a Comment