MASHABIKI WA CHELSEA KATIKA FAINALI UEFA 2012 - Darajani 1905

MASHABIKI WA CHELSEA KATIKA FAINALI UEFA 2012

Share This
Zimebaki siku 3 ili Chelsea kuwa tena uwanjani katika mchezo wa klabu bingwa kwa hatua ya 16 bora ambapo Chelsea itakuwa uwanjani kupambana dhidi ya wababe wa Hispania, Barcelona. Mchezo utakaochezwa tarehe 20-Februari na marudio yake kuchezwa nchini Hispania tarehe 14-Marchi.
Kuelekea kwenye mchezo huo nitakuwa nakuletea mfululizo wa matukio yaliyotokea kwa mashabiki wa Chelsea katika fainali ya klabu bingwa ambapo Chelsea ilimenyana dhidi ya Bayern Munich ambapo Chelsea iliibuka mabingwa.

No comments:

Post a Comment