Klabu ya akina dada ya Chelsea imeisafishia njia timu ya kaka zao ya Chelsea ambayo kesho itakuwa uwanjani kumenyana dhidi ya Watford katika mchezo wa ligi kuu Uingereza utakaochezwa kwenye uwanja wa Vicarage mara baada ya leo kupata ushindi mnono wa mabao 0-10 ikiwa ugenini dhidi ya London Bees.
Chelsea ya akina dada imepata ushindi huo mnono katika kombe la FA kwa wanawake ambapo kwa ushindi huo wamefanikiwa kufudhu kucheza raundi ya tano ya mashindano hayo.
Hongera akina dada
No comments:
Post a Comment