SHABIKI WA CHELSEA ASHINDA TUNZO MAREKANI - Darajani 1905

SHABIKI WA CHELSEA ASHINDA TUNZO MAREKANI

Share This

Hongera kwa moja ya mashabiki nguli na wakubwa wa Chelsea ambaye ni mchezaji wa klabu inayoshiriki ligi ya mpira wa Rugby ila kwa Marekani wanauita "American Football" ambapo ni kwa wao mpira wa kawaida wanauita Soccer.

J.J Watt ambaye ni mchezaji wa timu ya Houston Texans ni shabiki wa Chelsea amepewa tunzo ya 'NFL Payton Man of the Year' kwa mchezo huo ambaye amekuwa na taasisi ya kutoa misaada akiwa amehusika vyema kusaidia moja ya majanga ya Hurricane Harvey akitoa msaada wa dola za Marekani milioni 37.

Nasi kama mashabiki wenzake wa klabu pendwa duniani tunampa pongezi kwa kusema Hongera kwako.

No comments:

Post a Comment