NYOTA WAWILI KUIKOSA WATFORD - Darajani 1905

NYOTA WAWILI KUIKOSA WATFORD

Share This
Mchezaji nyota wa Chelsea na timu ya taifa ya Hispania Alvaro Morata atakosekana katika mchezo wa leo ambao Chelsea watakua ugenini dhidi ya Watford. Mchezaji huyo bado anauguza mjeraha ya mgongo aliyoyapata hivi karibuni






Huku mchezaji mwingine Andreas Christensen ataukosa mchezo huo kutokana na majeruhi aliyoyapata wakati Chelsea wakimenyana na Bournemouth katika dimba la Stamford Bridge.




Chelsea wanawafuata Watford ambao wana rekodi mbaya dhidi yao ambapo wamecheza mechi 13 bila ya ushindi dhidi ya chelsea huku wakipata droo 3 na kuambulia kichapo katika mechi 10 za mashindano yote.

Mara ya mwisho kwa Watford kupata ushindi ilikua  tangu september ya mwaka 1999 wakishinda nyumbani 1-0.












No comments:

Post a Comment