CHELSEA YATAMBA TENA TUNZO ZA LONDON KWA MWAKA 2018 - Darajani 1905

CHELSEA YATAMBA TENA TUNZO ZA LONDON KWA MWAKA 2018

Share This
Chelsea inapatikan kwenye jiji la London nchini Uingereza ambapo inapatikana kwenye jiji hilo kusini magharibi, katika mitaa au barabara za Fulham. Katika jiji hilo huwa kunatolewa tunzo kwa wachezaji wanaozichezea timu za jiji hilo ambapo kuna klabu kama Chelsea, Arsenyani (Arsenal), Tottenham, West Ham, QPR, Fulham na klabu nyingi kibao ambazonyengine zinacheza ligi kuu na nyengine zinashiriki ligi nyengine za chini katika nchi hiyo.

Kwa mwaka 2017, Chelsea ilifanikiwa kutoa washindi wa tunzo hizo ambapo kwa upande wa kocha bora alikuwa Antonio Conte na mchezaji bora wa mwaka alikuwa N'golo Kante wakati gwiji wa Chelsea, Frank Lampard alipewa tunzo ya heshima kwa kuzichezea kwake klabu za Chelsea na West Ham ambazo zote zinapatikana London.
Imetolewa orodha ya nafasi mbalimbali za wachezaji wanaowania tunzo hizo kwa mwaka huu 2018 ambapo nimekuletea huku vipengele ambavyo wachezaji wa Chelsea wamehusika na wanazishindania tunzo hizo.

Mlinda mlango bora wa mwaka 2018
Andrian-West Ham united
Daniel Bentley-Brentford
Thibaut Courtois-Chelsea
Heurelho Gomes-Watford
Hugo Lloris-Tottenham
Thibaut Courtois
Kocha bora wa mwaka 2018
Mauricio Pochettino-Tottenham
Roy Hodgson-Crystal Palace
Emma Hayes-Chelsea Ladies (Chelsea ya wanawake)
Slavisa Jokanovic-Fulham
Neil Harris-Millwall
Emma Hayes
Mchezaji bora kwa wanaume kwa mwaka 2018
Cesar Azpilicueta-Chelsea
Harry kane-Tottenham
Christian Eriksen-Tottenham
Heung-Min Son-Tottenham
Wilfred Zaha-Crystal Palace
Cesar Azpilicueta
Mchezaji bora kwa wanawake kwa mwaka 2018
Millie Bright-Chelsea Ladies (Chelsea ya wanawake)
Danielle Carter-Arsenal Ladies (Arsenal ya wanawake)
Katie Chapman-Chelsea Ladies (Chelsea ya wanawake)
Flan Kirby-Chelsea Ladies (Chelsea ya wanawake)
Jordan Nobbs-Arsenal Ladies (Arsenal ya wanawake)

Millie Bright

Mcheza chipukizi bora (Chini ya miaka 23) wa mwaka 2018
Andreas Christensen-Chelsea
Ainsley Maitland-Niles-Arsenal
Davinson Sanchez-Tottenham
Ryan Sessegnon-Fulham
Harry Winks-Tottenham
Andreas Christensen


No comments:

Post a Comment