Chelsea yatawala tuzo za London - Darajani 1905

Kama ilivyo kawaida, kwa kila mwaka kuwepo shughuli ya utolewaji wa tuzo kwa timu za soka zinazopatikana jijini London nchini Uingereza, jiji ambalo ndiyo mji mkuu wa nchi ya Uingereza na ndiyo jiji lenye timu nyingi za soka.

Hatimaye tuzo hizo zipo njiani kutolewa na tayari wachezaji na makocha wanaowania tuzo hizo wameshawekwa wazi uku nyota wa Chelsea kwa timu ya wanaume na Chelsea timu ya soka ya wanawake wakitawala kwenye tuzo hizo.

Mchezaji bora wa Ligi kuu Uingereza;
Gary Cahill (Crystal Palace), Heung-Min Son (Tottenham), Jorginho (Chelsea), Pierre-Emerick Aubameyang (Arsenal), Tammy Abraham (Chelsea)

Mchezaji bora wa soka la wanawake nchini Uingereza:
Beth England (Chelsea FCW), Beth Mead (Arsenal WFC), Erin Cuthbert (Chelsea FCW), Magdalena Eriksson (Chelsea FCW), Vivianne Miedema (Arsenal WFC)

Kocha bora wa mwaka;
Emma Hayes (Chelsea FCW), Frank Lampard (Chelsea), Joe Montemurro (Arsenal WFC), Roy Hodgson (Crystal Palace), Thomas Frank (Brentford)

Golikipa bora wa mwaka;
Ben Foster (Watford), Bernd Leno (Arsenal), David Raya (Brentford), Łukasz Fabiański (West Ham), Vicente Guaita (Crystal Palace)

Mchezaji bora wa mwaka kwa wenye umri chini ya miaka 21:
Bryan Mbeumo (Brentford), Fikayo Tomori (Chelsea), Gabriel Martinelli (Arsenal), Mason Mount (Chelsea), Tammy Abraham (Chelsea)

Mchezaji bora wa Ligi daraja la Kwanza (EFL Championship);
Aleksandar Mitrović (Fulham), Bryan Mbeumo (Brentford), Jed Wallaca (Millwall), Ollie Watkins (Brentford), Saïd Benrahma (Brentford)

Goli bora la mwaka;
Heung-Min Son (Tottenham), Jordan Ayew (Crystal Palace), Kante(Chelsea 2-1 Liverpool), Sébastien Haller (West Ham United), Sophie Ingle (Arsenal FCW 1-4 Chelsea FCW)

1 comment: