FA; EMERSON AANZA, MORATA BENCHI-CHELSEA vs HULL CITY - Darajani 1905

FA; EMERSON AANZA, MORATA BENCHI-CHELSEA vs HULL CITY

Share This

Chelsea inashuka uwanjani muda mfupi kuanzia sasa, ili kucheza mchezo wake wa hatua ya 16 bora au raundi ya tano katika michuano ya kombe la FA ambapo Chelsea itamenyana dhidi ya Hull city uwanjani usiku wa leo.

Kuelekea katika mchezo huo, hapa nakuletea kikosi kitakachomenyana katika mchezo huo;
Kipa; Willy Caballero
Walinzi; Antonio Rudiger | Ethan Ampadu | Gary Cahill (C)
Viungo; D.Zappacosta | Danny Drinkwater | Cesc Fabregas | Emerson P.
Washambuliaji; Willian | Olivier Giroud | Pedro

Wachezaji wa akiba; Eduardo, Trevoh Chalobah, Sterling, Scott, Moses, Hudson-Odoi na Alvaro Morata

Inaonekana kwa wachezaji wa leo, kocha Antonio Conte ameamua kuwapa nafasi zaidi wachezaji wa akademi, ambapo kama Trevoh Chalobah, Sterling na Scott wakifanikiwa kucheza mchezo wa leo, basi na wao watakuwa wameweka rekodi ya kucheza mchezo wao wa kwanza kwa timu ya Chelsea ya wakubwa.

No comments:

Post a Comment