FA; VIDEO, CHELSEA 4-0 HULL CITY - Darajani 1905

FA; VIDEO, CHELSEA 4-0 HULL CITY

Share This
Magoli mawili ya Willian, pamoja na magoli ya Pedro pamoja na Giroud yakikamilisha idadi ya magoli 4-0 yalitosha kuifanya Chelsea kufudhu kucheza hatua ya robo fainali ya kombe hilo la FA. Lakini je ulipata nafasi ya kuuangalia mchezo huo hapo jana? kama ulishindwa kupata nafasi ya kuuangalia au uliuangalia na unataka kuangalia tena kwa umakini nini kilitokea, basi hapa nakuletea video ili uweze kuangalia matukio makubwa kwenye mchezo huo.


No comments:

Post a Comment