Siku kama ya leo mwaka mmoja uliopita, Chelsea ilikuwa nyumbani kupambana dhidi ya Arsenyani (Arsenal) ambapo mchezo huo uliisha kwa Chelsea kuibamiza klabu hiyo 3-1 huku kikubwa kilichowashangaza wengi ni goli la Eden Hazard.
Nimekuwekea hapa kukukumbusha hilo goli lilivyokuwa.
No comments:
Post a Comment