Nyota wa zamani wa Chelsea, Andrian Mutu siku kama ya leo mwaka 2004 aliifungia Chelsea goli lake la mwisho akiwa klabuni hapo. Nyota huyo raia wa Romania, aliichezea Chelsea michezo 27 tu huku akifunga magoli 10 na kwa sasa ni mmoja wa viongozi katika chama cha soka cha nchini Romania. Kipindi chake cha uchezaji alikuwa akikumbwa na kesi za kutumia madawa na hivyo muda mwingi kutumika kufungiwa, na hakushinda taji lolote kubwa kutokana na kucheza michezo michache klabuni hapo.
KITAMBO; GOLI LA MWISHO LA ANDRIAN MUTU AKIWA CHELSEA
Share This
Tags
# Chelsea HD
Share This
About Darajani 1905
Chelsea HD
Labels:
Chelsea HD
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment