Michael Ballack kwa sasa ana miaka 41, na kama haujui alizaliwa kwenye familia ambayo haikuwa sana ya kisoka maana baba yake aliishia kucheza soka la ligi za juu akiishia kucheza soka la daraja la tatu lakini alikuwa na fani ya Uhandisi wakati mke wake alikuwa sekretari.
Siku kama ya leo mwaka 2010, kiungo gwiji na mchezaji bora mara tatu nchini Ujerumani, Michael Ballack aliifungia Chelsea goli lake la mwisho toka ajiunge na Chelsea ambapo alijiunga hapo mwaka 2006. Nyota huyo ambaye kwa sasa hana klabu anayoichezea wala kuifundisha aliifungia Chelsea magoli 17 toka afike klabuni hapo kabla ya baadae kutimkia Bayer Leverkusen ambako huko ndipo alipostaafu soka lake.
Michael Ballack kwa sasa ana miaka 41, na kama haujui alizaliwa kwenye familia ambayo haikuwa sana ya kisoka maana baba yake aliishia kucheza soka la ligi za juu akiishia kucheza soka la daraja la tatu lakini alikuwa na fani ya Uhandisi wakati mke wake alikuwa sekretari.
Michael Ballack kwa sasa ana miaka 41, na kama haujui alizaliwa kwenye familia ambayo haikuwa sana ya kisoka maana baba yake aliishia kucheza soka la ligi za juu akiishia kucheza soka la daraja la tatu lakini alikuwa na fani ya Uhandisi wakati mke wake alikuwa sekretari.
No comments:
Post a Comment