KITAMBO; LEICESTER 2-3 CHELSEA - Darajani 1905

KITAMBO; LEICESTER 2-3 CHELSEA

Share This
Siku kama ya leo mwaka 2002 kulichezeka mchezo wa ligi kuu Uingereza kati ya Chelsea dhidi ya Leicester city, ambapo Chelsea ilikuwa ugenini na kufanikiwa kushinda 2-3 huku magoli ya Chelsea yakifungwa na Floyd Hasselbaink aliyefunga mara mbili na Gianfranco Zola aliyefunga kwa mpira wa adhabu (faulo). Ni miaka 16 sasa imepita.

No comments:

Post a Comment