NI USIKU WA TAMMY ABRAHAM - Darajani 1905

NI USIKU WA TAMMY ABRAHAM

Share This
Ni kinda wa Chelsea anayeichezea kwa mkopo klabu ya Swansea, Tammy Abraham aliyeibuka kuwa nyota wa mchezo wa jana ambapo Swansea iliutumi vyema uwanja wake wa nyumbani kupata ushindi wa magoli 8-1 dhidi ya Notts County katika mchezo wa kombe la FA. Mara baada ya ukame wa mabao wa muda mrefu, kinda huyo akaibuka vyema na kuchaguliwa kuwa nyota wa mchezo na baadhi ya vyombo vya habari huku akifunga magoli mawili na kutengeneza jengine moja kwa kutoa pasi ya mwisho.

No comments:

Post a Comment