Chelsea leo itakuwa ugenini kupambana dhidi ya Watford katika uwanja wa Vicarage Road, ambao unatumiwa na klabu hiyo iliyomtimua kocha wake Marco Silva na sasa wana kocha mpya Javi Gracia.
Kuelekea kwenye mchezo huo, hapa nakuletea kikosi cha Chelsea kitakachomenyana dhidi katika mchezo huo unaotimiza wiki ya 26 ya ligi kuu Uingereza.
Kipa; Thibaut Courtois
Walinzi; Cesar Azpilicueta | David Luiz | Gary Cahill (c)
Viungo; Zappacosta | Kante | Bakayoko | Moses
Washambuliaji; Eden Hazard | Pedro | Willian
Wachezaji wa akiba; Caballero, Rudiger, Emerson, Drinkwater, Hudson-Odoi, Giroud
No comments:
Post a Comment