TERRY AWEKA REKODI MPYA UINGEREZA - Darajani 1905

TERRY AWEKA REKODI MPYA UINGEREZA

Share This
John Terry, gwiji wa Chelsea ambaye alicheza klabuni hapo kwa miaka 22 ameendeleza rekodi yake nchini Uingereza kwa kuwa mchezaji pekee Uingereza nzima kuwai kutokea kuhusika katika michezo 227 bila timu yake kuruhusu kufngwa goli lolote katika michezo yote hiyo.

John Terry ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya Aston Villa inayoshiriki ligi daraja la kwanza nchini Uingereza maarufu kama Championship ambapo jana aliiongoza vyema klabu yake hiyo kuifunga klabu ya Birmingham kwa magoli 2-0 huku Terry akiwa uwanjani kama nahodha wa klabu hiyo.  Ameifikia rekodi huyo huku kukiwa hakuna mchezaji yoyote kwa Uingereza aliyewai kufikia hata michezo 200 bila timu yake kuruhusu kufungwa goli.

John Terry
Captain, Legend and Leader (Nahodha, Gwiji na Kiongozi)

No comments:

Post a Comment