CHELSEA DHIDI YA LEICESTER MCHANA HUU - Darajani 1905

CHELSEA DHIDI YA LEICESTER MCHANA HUU

Share This

Dakika kadhaa zijazo, klabu ya vijana ya Chelsea chini ya miaka 18 (Chelsea U18) itakuwa uwanjani kucheza mchezo wake wa ligi kuu Uingereza kwa vijana wa umri huo apambano itashuka uwanjani kupambana dhidi ya Leicester city ya umri huo wa chini ya miaka 18.

Chelsea U18 kama itapata ushindi katika mchezo huu wa leo basi itajipa nafasi nzuri ya kutwaa taji la ligi kuu kwa umri huo wa chini ya miaka 18 ambapo itaongeza pengo la alama na kufikia tofauti ya alama 9 dhidi ya klabu inayoshika nafasi ya pili.

No comments:

Post a Comment