Klabu kubwa barani Ulaya haswa Uingereza haswa Chelsea zinatajwa kumfukuzia nyota raia wa Uturuki, Caglar Soyuncu anayeichezea nyota klabu ya Freiburg.
Klabu kubwa nchini Uingereza inatajwa kumfukuzia nyota huyo mwenye miaka 21 kwa sasa huku akitajwa kama kinda bora anayeicheza nafasi ya ulinzi huku akiwa tayari ameshaichezea timu yake ya taifa.
Soyuncu anatajwa tayari kuanza mawasiliano na klabu ya Arsenal ili kujiunga na klabu hiyo, lakini Chelsea pia ina nafasi kubwa ya kumnasa nyota huyo kama ikionyesha hitaji la dhati kwa nyota huyo.
No comments:
Post a Comment