HAPPY BIRTHDAY CHELSEA - Darajani 1905

HAPPY BIRTHDAY CHELSEA

Share This
Leo ni siku muhimu klabuni Chelsea, naweza kusema ndio siku ya muhimu kuliko siku zote kuwai kutokea klabuni hapo.

Tarehe 10-Marchi-2018, klabu ya Chelsea inatimiza miaka 113 toka kuzaliwa kwake tarehe kama hiyo mwaka 1905 na mfanyabiashara, Gus Mears ambapo aliianzisha klabu hiyo mara baada ya kumiliki uwanja wa Stamford Bridge ambao ulikuwa unatumiwa na klabu ya London Athletic Club.

Chelsea leo ni siku ya kuzaliwa kwake na pia itakuwa uwanjani kucheza mchezo wake wa ligi kuu Uingereza dhidi ya Crystal Palace, ambapo mchezo huo utakuwa mchezo wa thelathini katika michezo ya ligi kuu kwa msimu huu wa 2017-2017.

Hongereni mashabiki wa Chelsea popote duniani kwa kufanikiwa kuishuhudia klabu yetu ikifikia hapa ilipo...

No comments:

Post a Comment