UEFA; VIDEO, Barcelona 3-0 CHELSEA - Darajani 1905

UEFA; VIDEO, Barcelona 3-0 CHELSEA

Share This
Kama ulikosa kuutazama mchezo wa jana wa hatua ya 16 bora ya michuano ya klabu bingwa barani Ulaya ambapo Chelsea ilipoteza ikiwa ugenini dhidi ya Barcelona na hivyo kutofanikiwa kuendelea katika hatua ya robo fainali ya michuano hiyo, basi hapa nakuletea video ya mchezo huo.

No comments:

Post a Comment